AIBU! MKE AHARIBIWA SWAUMU NDANI YA DALADALA
![]() |
Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’
wetu na kuacha mshangao mkubwa kwa abiria huku wengine wakimwachia
laana ya mdomo njemba huyo, lilijiri mapema wiki hii ndani ya dalalada
inayofanya safari zake kati ya Sahare na Raskazoni ambapo mwanamke huyo
alikosa siti hivyo akalazimika kusimama.
...Wakizidi kumuadabisha.
Shuhuda huyo alisema kuwa, ndani ya daladala hiyo kulikuwa na mbanano
wa abiria ambapo njemba huyo alitumia fursa hiyo kujiridhisha baada ya
kupata mfadhaiko kisha kumchafua mwanamke huyo aliyedai kuharibiwa
swaumu yake kwa kuwa alikuwa amefunga.
“Jamaa tulimchukulia kama abiria wengine na kwa kuwa daladala ilikuwa imejaza sana, muda mwingi alionekana kumsogelea yule mke wa mtu na hatukujua kama alikuwa akitaka kumfanyia mchezo mbaya,aibu kweli” alisema shuhuda huyo.
Alitiririka kwamba, baada ya mwendo mrefu kidogo, njemba huyo alianza taratibu kufunua baibui la yule mke wa mtu na kuanza kumfanyia kitendo kichafu.
“Yule mke wa mtu mwanzoni aliona kawaida kugusana na abiria kutokana na gari kujaa lakini alikuja kushtuka kama anavuliwa nguo ndipo alipogeuka nyuma na kumkuta jamaa akiwa ameshikwa na mfadhaiko huku akiwa amemchafua nguo yake sehemu ya nyuma.

Hata hivyo, baada ya njemba huyo kupewa kichapo cha nguvu na raia waliomzingira, alifanikiwa kuchoropoka na kukimbilia eneo la ukuta na kutokomea akimuacha yule mama akiendelea kulia na kusema swaumu yake imeharibika.
Post a Comment