July
3 2015 ilikumekuwa siku nyingine ambayo kikao cha bunge Dodoma hakijaisha
kwa amani, Wabunge wa Upinzani kwa mara nyingine walipinga Bunge
kuendelea kujadili miswada ambayo iliwasilishwa.
“Baada ya
Kikao cha Bunge kuahirishwa asubuhi, Jioni Kikao kiliendelea tena ambapo
kwanza ilis
omwa taarifa kuhusu ishu ya utata uliotokea Bungeni kuwasilishwa kwenye Kamati ya Maadili na yakatolewa maamuzi ya Kamati hiyo.” hayo maneno ameyasema Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Ngwilizi
omwa taarifa kuhusu ishu ya utata uliotokea Bungeni kuwasilishwa kwenye Kamati ya Maadili na yakatolewa maamuzi ya Kamati hiyo.” hayo maneno ameyasema Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Ngwilizi
Kamati pia imeamua wabunge Rajabu Mbarouk na Mchungaji Peter Msigwa wasihudhurie vikao viwili vya mkutano wa Bunge kuanzia tarehe 4 Julai 2015, na
Wabunge Joseph Selasini, Khalifa Suleiman Khalifa na Rashid Ali
Abdallah wanatakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili Jumamosi saa nne
asubuhi kwa kuwa hawakupata hati ya kuitwa kwa haraka.” >>> Mwenyekiti wa kamati ya haki, kinga na maadili ya Bunge, Brigedia MstaafuHassan Ngwilizi.
Spika wa Bunge akaahirisha Kikao baada
ya maamuzi hayo ambapo sauti zote za hili tukio ziko hapa chini mtu
wangu, ukiplay utasikiliza kilichotokea Bunge.
“Vitendo
vilivyofanywa na Wabunge hao ni ukiukaji wa Kanuni za Bunge… Kamati
imeamua Wabunge Tundu Lissu, John Mnyika, Moses Machali, Pauline Gekuu
na Felix Mkosamali wasihudhurie vikao vyote vilivyosalia kwenye mkutano
wa 20 kuanzia tarehe 4 Julai 2015” – Hassan Ngwilizi.
Post a Comment