Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia
maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini leo.
Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa kampeni za CCM Dodoma mjini leo
Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo Dodoma mjini
Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo
Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo

Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) na Anthony Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika leo Dodoma mjini
Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika leo
Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Anthony Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini
Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo, jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mama Mariam Simbachawene.
Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

MAGUFULI KUIANGALIA MTWARA KWA JICHO LA TATU
Wednesday, September 2, 2015
Mgombea
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara
kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara
utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa kipaumbele katika
ajira.
Wananchi wa Mtwara wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara mjini Ndugu Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mashujaa.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa.
Kila mtu na staili yake.
Mhe.Husnein Murji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa
Umati wa wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa ubunge kupitia CCM jimbo la Mtwara mjini Mhe.Husnein Murji akiwasalimu wananchi wa Mtwara mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM
Msanii Msami akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ,Mtwara mjini.
Ali Kiba akishambulia jukwaa kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Mtwara mjini.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

DK. SLAA ATANGAZA RASMI KUACHIA NGAZI CHADEMA
Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa, Septemba 1, 2015, ametagaza
rasmi kuondoka katika chama hicho na kustaafu mambo ya siasa akiwa
katika vyama vya siasa nchini Tanzania.
Hata hivyo amesema, ataedneleakuwa Mtanzania na hivyokufanya siasa akiwa mwananchi wa kawaida.
Zifuaazo ni dondoo za hotuba yake, aliyoitoa katikahoteli ya sreena jijini Dar es Salaam, akitangaza uamuazi wake huo
Kutoka Serena Hotel Ambako Dr. Slaa Anaongea
1.Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujali uzima.
2. Nimeamua kujitokeza leo hii ili kumesha upotoshaji na kuuweka wazi ukweli.
3.Sina tabia ya kuyumbishwa na ninasimamia ninachokiamini.
4.Sina ugomvi na kiongozi yeyote maana siasa sio uadai.
5. Siasa inapoongozwa kwa misingi ya upotoshaji, matokeo yake ni vurugu.
6. Naweka wazi kuwa mimi sikuwa likizo na hakuna aliyenipa likizo yoyote.
7.Kilichotokea ni kuwa niliamua kuachana na siasa tangu 28.7.2015 saa sita usiku baada ya
kutoridhishwa na kilichokuwa kinaendelea ndani ya chama changu.
8.Ni kweli nilishiriki kumleta Lowassa CHADEMA Lakini nilikuwa na misimamo yangu ambayo ilitufanya
tusielewane.
9. Baada ya Lowassa kukatwa pale Dodoma, Gwajima ambaye ni mshenga wa Lowassa alinipigia simu
kutaka kujua nii cha kufanya.
10. Nilimpigia Mwenyekiti Mbowe kumjulisha na tukakubaliana kupanga muda wa kuwasikiliza.
11. Kabla ya kuanza kuwasikiliza, msimamo wangu ulikuwa ni kumtaka Lowassa kwanza atangaze
kuhama chama, aweke wazi ni chama gani anaenda na ajisafishe juu ya tuhuma zake
12.Tangu akatwe jina, Lowassa hakutangaza kujitoa CCM na wala hakujisafisha na tuhuma zake, kitu
kilichonifanye nitofautiane naye.
13. Niliwauliza wanachadema wenzangu kuwa Lowassa anakuja kama Mtaji au Mzigo?
14. Swala sio urais kama watu wanavyozusha, mimi nilikuwa nataka mgombea mwenye uwezo na sifa
ambaye ataweza kuitoa CCM. Sikuwa na tamaa ya urais kama watu wanavyosema
15. Tangu Gwajima atupe taarifa za ujio wa Lowassa, Swali langu la Lowasssa kuwa Mtaji au mzigo
halikuwahi kujibiwa.
16. Nilitaka kujua ni mtaji gani lowassa atakuja nao na ni viongozi gan atakuja nao.
17. Nilijibiwa kuwa anakuja na wabunge 50 wa CCM, wenyeviti 22 wa mikoa na wenyeviti 80 wa
wilaya.
18.Baada ya ahadi hiyo, nilitaka sasa nipewe majina ya hawa watu lakini mpaka tarehe 25 july
sikupewa hayo majina
19. Wenzangu waliniambia kuwa tarehe 27 niitishe kikao cha dharura ila niligoma kwa sababu nilikuwa
sijapewa haya majina
20. Ndani ya kikao hicho, tulianza kwa mabishano makali kati yangu na Mbowe, Lissu na Gwajima,
viongozi wenzangu ni shahidi na mungu anajua. Msimamo wangu ulikuwa ni uleule kujua mchango wa
Lowassa
21. Kikao kile kikavunjika, baadae tukaingia kamati kuu lakini bado msimamo wangu ulikuwa ni uleule.
Baadae nikaandika barua ya kujiuzulu.
22.Profesa Safari aliichana ile barua.
23.Cha kusikitisha ni kuwa Kesho yake picha zikaanza kusambaa mtandaoni zikimuonyesha la lowassa
japo viongozi wangu walizikana zile picha. Kibaya ni kuwa viongozi waliuficha ukweli
24. Kesho yake niliandika tena barua rasmi ya kujiuzulu.
25. Baada ya pale zikaanza propaganda za uongo zikimuhusisha hadi mke wangu eti kanizuia.
26. Naomba watanzania wajue kuwa mke wangu hakuwahi kunizuia kwa lolote, lkn hata angefanya hivyo
sio mbaya maana hata yeye ni mwanaharakati mwenye uchungu na nchi hii.
27. Mke wangu aliwahi hadi kuumia wakati akipigania ukombozi wa nchi hii.....Lakini sio mbaya, familia
yangu imezoea propaganda.
28. Kikubwa katika harakati ni credibility ambayo lazima uilinde na mimi sitaki jina langu liharibiwe na
ni haki yangu.
29. Maslah mapana ya taifa ndiyo yaliyotufikisha hapa na sio maslahi binafsi.
30.Lowassa na wapambe wake ni waongo maana hakuna hata kipengele kimoja walichokitekeleza.
31. Tulitaka hao wabunge 50 waje kwanza kabla ya mchato wa uteuzi ccm
32. Napinga kuchukua makapi ya CCM kuyaita MTAJI.
33.Mtu kama Sumaye ni FISADI na nilikuwa siongei naye
34. Sumaye aliwahi kusema CCM wakimchagua Lowassa atahama chama. Leo Lowassa kawaje msafi??
35. Tulitaka Mtaji toka kwa Lowassa na sio MAKAPI
36. Wenyeviti walioletwa na Lowassa ni MZIGO na namjua vizuri. Akithubutu kunijibu ntamwaga UOZO
wake wote
37.Nani asiyejua Guninita pia ni mzigo??
38: Nawataka viongozi wangu wanijibu ni mtaji upi walioupata toka kwa Lowassa.
39. Mimi ni Padri Mstaafu, sipendi siasa za uongo.
39. Ukisema unataka kuiondoa CCM ni lazima ujikumbushe misingi ya CHADEMA ambayo ilikuwa ni
uadilifu. Leo chadema hii ina Uadilifu gani??
40. Namshangaa sana Lowassa eti kusimama mbele ya watu akijinasibu kuwa ni msafi.....kwamba
mwenye ushahidi aende Mahakamani. Ni dhambi kupotosha watu.
41. CCM hawana ujasiri, ni waoga na ndiyo maana wamewalea watu kama akina Lowassa
42. Ukitoa kinyesi chooni na kukipeleka Chumbani maana yake hata chumba chako ni CHOO na
kitakuwa kinanuka zaidi kulicho choo cha kawaida
43.Mimi nilikuwepo wakati sakata la Richmond likijadiliwa.Mimi nina ugomvi wa muda mrefu na
Lowassa.
44. Mwaka 2010 mimi nilimtaka Lowassa atangaze Richmond ni ya nani.
45. Leo tena namtaka Lowassa namtaka Lowassa atoke hadharani atangaze Richmond ni ya nani.
Unaposema ni ya mkubwa, atuambie mkubwa gani
46. Ukitaka kuijua Richmond rejea Ripoti ya Mwakyembe. Nampongeza Mwakyembe na Sitta kujitokeza
hadharan kuusema ukweli.
47. Siku moja kabla ya ripoti kusomwa, nililetewa Rushwa ya milioni 500 ili tukaupindishe ukweli
bungeni lakini nilikataa
48. Ripoti ya mwakyembe iliamua mambo mawili, moja; Lowassa ajipime au bunge lijadili na lichukue
ripoti. Lowassa kuona hivyo akaamua kukimbilia kujiuzulu kukwepa aibu ya kung'olewa na bunge
49: Lowassa haaminiki, ni muongo na hastahili kuwa Rais wa nchi....
50. Lowassa ni FISADI na kama mimi ni muongo ajitokeze hadharani akanushe
51. Anasema Lowassa ataleta maji, mbona jimbo lake la Monduli halina Maji???
52. Mnasema Lowassa kaanzisha shule za kata, iv mjua msingi wa shule za kata? waandishi rudini
shule mkajifunze upya.
53.Nilifanikiwa kuijenga Chadema na ikawa tumaini jipya la watanzania.....Vijana wangu wa Chadema,
naomba niwe mkweli propaganda imekivamia chama.
54. Inasikitisha kuona CHADEMA inajaza mabasi pale jangwani badala ya watu.....alafu mnawadanganya
watu eti ni MAFURIKO
55. CHADEMA ya kipindi changu ilikuwa inakemea Rushwa. Niambien leo chadema watasema nini
kwenye majukwaa?
56. Mnaomtetea Lowassa na nyie jitokezen hadharani...mimi nasema kwa sababu nina ushahidi na sio
lazima ushahidi huu niupeleke mahakamani.
57. Wenye uwezo wa kumpeleka Lowassa Mahakamani ni Serikali, na mwakyembe alisema juzi kuwa
kesi ya jinai haina kikomo, mtu anaweza kushitakiwa muda wowote
58. Sitaki kuingila swala la Babu Seya, lakini waliolawitiwa ni watoto waliokuwa chini ya umri. kwa nini
haki yao ipotee?
59. Rais hana mamlaka ya kumtoa Babu Seya. Lowassa asiwadanganye.
60. Kuhusu swala la Masheikh, Sumaye ndiye aliyeamuru mapolisi wavamie misikiti wakiwa na
mbwa......Watanzania msikubali kudanganywa. hizo ni propaganda za wasaka urais
61. Masikubali Rais Muongo na mimi naapa ntapiga kelele kila kona kumpinga Lowassa.
62.Lowassa alipokuwa waziri mkuu, matatizo yanayotokea leo hayakuwepo? mapigano ya wakulima na
wafugaji hayakuwepo?
63. Lowassa akiwa waziri mkuu alisababisha migogoro mizito sana kati ya monduli na karatu. Rais wa
aina hii wa nini?
64. Naomba nisiongee mengi kwa sababu ntakosa ya kusema siku nyingine.....Nawataka Lowassa na
Sumaye wajitokeze kunijibu.
65. Siku nyingine ntakuja kuongelea kuhusu hisa za Lowassa kwenye makampuni
66. Nahitimisha kwa kusema kuwa Nimestaafu siasa na sina chama lakini nina nchi, hivyo ntaendelea
kuwatumikia watanzania kwa jinsi mungu alivyonipa vipawa
67. Narudia tena, Sina chama na sitajiunga na chama chochote.

SAFARI YA MAGUFULI KUELEKA MTWARA AKITOKEA RUVUMA YAWA YA AINA YAKE AHUTUBIA MIKUTANO 16
Tuesday, September 1, 2015
- Awaambia wananchi ,tumetoka mbali, tupo mbali na tunaelekea mbali
- Bei za Vifaa vya ujenzi kama Cement na Mabati kupungua
- Kuboresha zao la korosho na kuipandisha thamani
- Awaambia wananchi hao yeye si Mwanasiasa bali ni mtendaji
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa njiani kuelekea Masasi.
Wananchi wa kijiji cha Nakapanya wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa safarini kutokea mkoa wa Ruvuma akielekea Masasi mkoani Mtwara.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tunduru kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jmbo kwenye mkutano wa kampeni Tunduru.
Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Tunduru ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
wakazi wa Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.
Wakazi wa Matemanga wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Wakazi wa Kiuma wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi mkoani Mtwara.
Wakazi wa kata ya Mchomolo wakihamasika na hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa kata ya Mchomolo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Dk. Emmanuel Nchimbi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Namtumbo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wagombea udiwani wa Jimbo la Namtumbo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Ndugu Yusufu Liambe ambaye anagombea udiwani kata ya Lwinga.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Namtumbo Ndugu Edwin Amandus Ngonyani.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Namtumbo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Post a Comment